Habari Za Hivi Punde

Jumatano, 19 Februari 2014

CHANZO CHA MAJI ITUPI

Maji yanayopatikana hapa yanatumika kupikia pamoja na kunywa. Ni maamuzi ya mtumiaji kwamba achemshe au asichemshe kwa sababu ni maji safi na salama kwa shughuli zote za nyumbani, Hairuhusiwi mtu yeyote kufulia wala kuoga mahali hapo, kuna sehemu maalum kwa ajili ya kuogea na kufulia ambapo wanaume wana sehemu yao na wanawake wana sehemu yao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Designed By