Habari Za Hivi Punde

Jumapili, 16 Februari 2014

kwa kilimo pia hatupo nyuma hili ni shamba la viazi mviringo. Ardhi yetu ina rutuba ya kutosha na mvua za mara kwa mara zinasaidia katika kukuza mazao yetu. Mazao yanayopatikana kwa wingi katika halmashauri yetu ni mahindi, ndizi, viazi mviringo na maharage

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Designed By