Habari Za Hivi Punde

Jumatano, 19 Februari 2014

MANDHARI

Sehemu kubwa ya mkoa wa Mbeya ni kijani kibichi hasa hasa maeneo ya wilaya ya Lungwe kutokana na kuwa na udongo wenye rutuba unaostawisha mimea vizuri. Pia kuna mvua za kutosha kwa mwaka

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Designed By