Habari za asubuhi wapenzi wa blog yetu ya Busokelo yetu,
Nawakaribisha katika blog yetu ambayo inawaletea habari za nyumbani kwetu katika halmashauri ya wilaya ya Busokelo pamoja na picha na matukia yanayoendelea.Tutaendelea kuwaletea maajabu na vivutio vilivyopo katika halmashauri yetu na endapo utapata nafasi ukatembelee vivutio hivyo.
KARIBUNI SANA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni