Kivutio kingine kinachopatikana ndani ya halmashauri ya wilaya ya Busokelo ni maji moto yanayopatikana kanyerere, Hiki ni moja ya kivutio ambacho kikitumika vizuri kinaweza kuliingizia taifa mapato pamoja na kutoa ajira kwa wananchi na kuwaingizia kipato kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali ziazoendana na utalii kama Mahoteli, mighahawa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni