MAPOROMOKO YA KAPOROGWE
Mkoa wa
mbeya umejaliwa kuwa na vivutio vingi vya kiutalii na moja wapo ya vivutio
hivyo ni maporomoka ya kapologwe yaliyo katika sehemu ya ndani yam to kala
katika ukanda wa juu kusini.
Maporomoko ya kapologwe yanavyoonekana ukiwa chini ya mto ndani ya pango
Maporomoko ya kaporogwe yanavyoonekana kwa nje
Mto kala umezungukwa na miamba na kuna pango chini yamaporomoko ya kapologwe ambapo kuna ukuta mgumu sana wa zamani. Inasemekana kuwa
ukuta huo ulijengwa na wajerumani katika vita ya pili yadunia. Umbali
kutoka kapologwe fall mpaka tukuyu ni mwendo wa kilimeta kilimeta 26.
Sehemu ya ndani ya maporomoko ya kaporogwe inayoonyesha ukuta mgumu kama picha ilivyochukuliwa na panoramio.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni