Uongozi
wa itete alumni association kwa kushirikiana na wadau mbali
mbali(walimu, wazazi na wanafunzi) umeandaa mfululizo wa matukio kama
ifuatavyo:- 20/02/2015 (alumni Gathering) Kuonana wana alumni wote mkoani mbeya na kumtembelea mwalimu mwalumuli. 23/02/2015 kuwasili rasmi katika shule ya itete, ambapo events kadhaa zitafanyika. 24/02/2015
ni kilele cha safari zetu tutawatembelea walimu wastaafu(mwl mwamaso,
igumi na mwakasitu) ikiambatana na lunch party, Kisha jion kufunga siku
kwa kutembelea ziwa kiungululu. Mabadiriko yoyote tutawafahamisha. Asanteni
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni