Habari Za Hivi Punde

Alhamisi, 20 Machi 2014

Hali ya hewa ndani ya Busokelo ni ya kuvutia na udongo wake ni wenye rutuba na mzuri kwa kilimo kama unavyoona kwenye picha na huu ni ukanda wa kijana ambapo mimea yake ni ya kijani kwa kipindi cha mwaka mzima

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Designed By