Habari Za Hivi Punde

Alhamisi, 20 Machi 2014

 Hili ni shamba la migomba likiwa limechanganywa na maharage pamoja na maghimbi.

Ukifika kwetu Busokelo huwezi kufa njaa kwa sababu asilimia kubwa ya wakazi wa huku ni wakulima na huku tunalima katika kipindi chote cha mwaka bila kupumzika hali inayosababisha tuwe na chakula cha kutosha kwa mwaka mzima. 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Designed By